umeme na majitoa sifa ya chumba unachotaka eg umeme/giza etc
50/mwezi unaanza kwa miezi 6 pia ina board juuumeme na maji
Ina board gani?50/mwezi unaanza kwa miezi 6 pia ina board juu
ishi mwenyewe😱😱😱😱😱karibu kipo cha 15,000Tsh kwa mwezi, unalipia kuanzia miezi sita. Umeme, maji, kina vigae, ni self contained, gari inafika mpaka mlangoni./karibu na barabara kuu. Note.. Chamsingi.. Hairuhusiwi kuingiza mwanamke ndani, wala kuishi na mwanamke ndani..😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😵😵😵😵😵😵😵😵
poa sheikh.. ukipata mteja usisite kunijuza.., nitakupa cha juu 😱😱😱ishi mwenyewe😱😱😱😱😱
Madalali wapo wengi shuka pale kwa Lulenge ilizia madalali wa vyumba unawapataNahamia hapo leo. Japo sijapata dalali hadi sasa...kwahiyo nitakachofanya ni kuja na hela CASH tuone kama dalalali hatapatikana. Leo 6:00pm
PM basi, naona umefungakaribu kipo cha 15,000Tsh kwa mwezi, unalipia kuanzia miezi sita. Umeme, maji, kina vigae, ni self contained, gari inafika mpaka mlangoni./karibu na barabara kuu. Note.. Chamsingi.. Hairuhusiwi kuingiza mwanamke ndani, wala kuishi na mwanamke ndani..😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😵😵😵😵😵😵😵😵
Fungua uzi wako utapata kwa urahisi nduguNatafuta chumba maeneo ya kigamboni dalali wa pande hizo tuwasiliane.
Wewe unataka hiyo nyumba ya 15,000 wakati amekwambia masharti mwanamke asiguse kizingiti chako...wakati hapo juu nishaona mwanamama MJUKUU WA CHIEF amejitolea kuja kwako ukifika maeneo yakwao ...???ni
PM basi, naona umefunga
kwani mwanamke ndo atalipa hiyo 15000? na huyo MJUU WA CHIEF akija kwangu kunitembelea, vipi kama nikiamua nisifungue mlango???Wewe unataka hiyo nyumba ya 15,000 wakati amekwambia masharti mwanamke asiguse kizingiti chako...wakati hapo juu nishaona mwanamama MJUKUU WA CHIEF amejitolea kuja kwako ukifika maeneo yakwao ...???