Pata Laptop Kwa bei Ya e-bay

Pata Laptop Kwa bei Ya e-bay

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,630
Reaction score
2,486
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea laptop kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta laptop za kipekee zipatazo tano.
Laptop hizi zinaitwa, Gateway.Ni laptop imara,zenye kukaa na chaji zaidi ya masaa matatu.Laptop tunauza tzs 270,000/- (Laki mbili na sabini elfu tu).
Laptop ina warranty ya miezi miwili.

Ofa: Kila laptop moja katika hizi tano ina program saba BURE kama zifuatazo:
1.Miongozo ya kilimo biashara kwa mazao yote
2.Jinsi ya kujenga nyumba kwa gharama nafuu
3.kutengeneza mkaa mbadala bila kukata miti
4.kiwanda cha nyumbani( Bidhaa 15 za kutengeneza ukiwa nyumbani kama sabuni zote,mshumaa,chaki n.k)
5.Ufugaji wa kuku asili na kuku wa kisasa
6.Ufugaji samaki kitaalamu na kibiashara
7.Mchanganuo wa biashara na memorandum and article of association.

Tupo Kariakoo,mkabala na jengo la China Plaza.Piga simu:0713-039875
 

Attachments

  • IMG_20181005_140342.jpg
    IMG_20181005_140342.jpg
    132.3 KB · Views: 38
  • IMG_20181005_140528.jpg
    IMG_20181005_140528.jpg
    109.7 KB · Views: 39
  • IMG_20181005_140728.jpg
    IMG_20181005_140728.jpg
    92.9 KB · Views: 37
  • IMG_20181005_140822.jpg
    IMG_20181005_140822.jpg
    91.3 KB · Views: 35
  • IMG-20181010-WA0003.jpg
    IMG-20181010-WA0003.jpg
    71.8 KB · Views: 31
Mkuu tunanunua laptop kwa kuangalia specification emu weka specification
 
Back
Top Bottom