Nahitaji Mayai ya Kuku wa Kisasa Bei ya Jumla

Mjasiriamali M

Senior Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
142
Reaction score
69
Habari za Jioni Wakuu, Ni Matumaini Mpo Salama na Mnaendelea Vizuri na Pirika zenu za Kila siku. Nna Hitaji Mtu wa kuniuzia (supplier) wa mayai ya kuku wa Kisasa Kuanzia Trays 50 na Kuendelea. Mimi nna soko tayari ila uwezo wa kulimudu ndio umeshika so sihataji kuwapoteza wateja wangu. Offa yangu ni Tsh 5500 had 5700 ntashukuru ukiniletea Hata Trays 200 naimani tutafanya Biashara. Nipo Tandika, Dar Es Salaam. Nipeni na nyie Offa zenu. Nipgie/Whatsapp 0719 447 204.

Shukrani.
 
Hawajaja tu..., cheki kwenye matangazo ya wauza kuku wote uwaulize

baadhi ni hawa

https://www.jamiiforums.com/nafasi-...-nauza-mayai-ya-kuku-wa-kisasa-bei-nafuu.html

https://www.jamiiforums.com/ujasiri...kisasa-kwa-sh-6000-=-tu-kwa-bei-ya-jumla.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...u-wa-kisasa-idadi-yeyote-ile-tuwasiliane.html

Yaani nashangaa kila siku tunalalamika soko alafu mdau anaweka tangazo hii siku ya pili ninayejibu ni mimi tu ambaye hata maganda ya mayai sina..., Changamkieni Fursa bana hata kama bei ndogo mnaweza mkaelewena
 
Mkuu bei ya vyakula imepanda sana..now mayai ni 6500 kwa tray..
Bei ya jamaa ni ndogo hata kwa jumla.Ndio maana hakuna labda aliyejibu.
 
Okay...., Kumbe, sasa si mgemwambia aongeze ongeze kuliko kumchunia huenda akadhani fonts anazoandikia ni invisible na watu hawazioni..

Biashara haigombi huenda mkafikia muafaka
 
Ahaaa ahaaaaa...zinaonekana.
Wapo watakaokuja.
 
Ahaaa ahaaaaa...zinaonekana.
Wapo watakaokuja.

ila kama chakula bei mbaya mtu si akichanganya mwenyewe na kununua kwa jumla si mtu anapunguza gharama.., Pia hivi tuseme mtu umenunua chakula kwa bei mbaya kabisa.., break even point (kurudisha pesa ya chakula na madawa) inabidi kuuza kiasi gani kwa tray..., hapo kabla hatujaweka faida
 
Ukikosea kidogo inakula kwako mkuu ndo maana watu wanaaamua kununua kilichotayarishwa
 
Nimewawekea Nafasi ya Wao Kuleta Ofa zao, naona kuna shortage ya supply ila hii huwa ni msimu tu maana hata mimi ni mfugaji ispokuwa kuku wangu wanafikia ukomo wa kutaga na nna wauza soon, nna soko ambalo sihitaji kulipoteza thats y nimekuja huku. kweli chakula kimepanda ila hata kama utanunua chakula pure bila kuchakachua inalipa coz nimepitia huko mpaka nikaanza kuwachanganyia na pumba kidogo mpaka now wanakula pumba tu na wanataga.
cc
#Nyati
#KeyserSoze
 
Kwa chakula cha 51'000 toka 43'000. Wape muda ..ati nao dola imepanda chakula kinapanda hii nchi sinahamu..kuku was kienyeji mayai vipi unaitaji
 
Duhh,aisee hi nchi kweli kiboko.

Yaani jamaa ametoa Tender kubwa lakini watu wamesepa.
Ingekuwa jukwaa letu la Siasa post ingejaa,hahaha

Fursa kumbe zipo aisee,hii inaonyesha kwamba badi nchi haijaweza kuzalisha mayai kiasi chakutosha.

Nakupongeza sana Mjasiriamali kwa kujali wenzako,hii ndio inatakiwa kwa mfanyabishara kuwa na upendo kwa wenzio.
Yaani huu umoja wa namna hii ni mzuri sana,maana kuna watu wana order kubwa kuliko uwezo wao,lakini wapo tayari soko life lakini hampi tender mwenzie,kisa roho mbaya Tu
Ubarikiwe Mjasiriamali
 
Asante ndugu #Zanzibar Spices, Ndo Hivyo lkn suppliers siwaoni though wapo walionicheki kwa sms ila bado nna uhitaji mkubwa. Tubarikiwe Sote.
 
Mkuu mm nafanya biashara ya mayai lakini kwa hio bei yako ya 5700 duu IPO chini sana labda upate wafugaji wakubwa sana wenye kuku 5000+ ndo utapata kwa io bei yako, kumbuka pia bei ya mayai hupanda na kushuka na yakipanda kwa hio bei yako hupati mtu
Tangazo la mwaka 2015 hilo
 
Back
Top Bottom