Mwenyeji wa sumbawanga

Mwenyeji wa sumbawanga

Bitcoinbase

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
319
Reaction score
285
Jamani nahitaji watu wenyeji wasumbawanga ,,, kuna ishu nataka kuja kufanya huko so nahitaji mwenyeji ...
Please kwa ambae yupo huko na anaweza kunipa host
Nicheki pm.
 
Kabla hujaja ujue kwanza maana ya neno sumbawanga!
 
Jamani nahitaji watu wenyeji wasumbawanga ,,, kuna ishu nataka kuja kufanya huko so nahitaji mwenyeji ...
Please kwa ambae yupo huko na anaweza kunipa host
Nicheki pm.
Unaenda Wilaya gani na kazi gani unaenda kufanya huko?
 
Jamani nahitaji watu wenyeji wasumbawanga ,,, kuna ishu nataka kuja kufanya huko so nahitaji mwenyeji ...
Please kwa ambae yupo huko na anaweza kunipa host
Nicheki pm.
Unategemea kwa post hii upate mwenyeji? Mtafute mtu anaitwa Ufipa Sumbawanga atakeelekeza.
 
chonde chonde usiende na tunguli..utaishia njiani.!

nyenzo nyingine zote ruksaa
 
Back
Top Bottom