RuwaIkunda
Senior Member
- Nov 2, 2017
- 156
- 278
Naomba msaada nani anayejua ku unlock simu za kutoka u.s.a zipate kufanya kazi huku Tanzania. Maana nina simu zangu kama 2 za kutoka huko nashindwa kuzitumia huku.!
Ahsante!!
Ahsante!!
taja aina ya simu na upo wapi...!!!