Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Kwanza naweka heshima mbele kwenu wanajamii kwa michango yenu ya kujenga. Nami leo nimeamua kujiunga nanyi katika chombo hiki huru cha kuchangia mawazo yetu yanayojenga. Hope mtanipokea.:yo:
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wapiganaji nimefurahi sana kuwa mmoja wapo wa wanafamilia wa jf ni naomba tushirikianane kwa yote aksanteni sana
0 Reactions
2 Replies
843 Views
Jamani mtanisamehe niliingia kwa dirisha wakati wa uchaguzi (damn! i was so angry) kwa hiyo sikubisha hodi, sasa jamaa wamenipa maji nimemezea hasira yangu imeenda kutengeneza ulcers tumboni ndo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana Jf mpooo? Ndo nimeingia kwa kishindo so tushirikiane please
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani Hodi!! Watanzania wenzangu wana JF nawashukuru kwa sababu nimejifunza kwenu mengi nikiwa siyo member na sasa nimelazimika kujiunga kwani ninaamini hapa ni mahali pa watu wenye akili na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu wa itifaki Naitwa Shikutengi, nimekuwa nikivutiwa sana na Jimii forum kwa siku nyingi sasa leo uzalendo umenishinda nimeamua kuwa muumuni (member) naomba mnipokee niko...
0 Reactions
4 Replies
970 Views
hallow JF members
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Muda muafaka wa Kuzoza na wana FJ kwa maendeleo ya TZ kupitia maandiko ndio huu, nimetinga rasmi
0 Reactions
16 Replies
2K Views
mambo ni aje wapenda amani na maendeleo wenzangu mimi naitwa gudchaz........ningependa pia kufahamu jinsi ya kuwa premium member au senior member au expert....
0 Reactions
1 Replies
881 Views
HAIIII membaz!!! Ni mzee wa jikoni mwenyewe naingia.
0 Reactions
2 Replies
841 Views
naitwa Nimrod alex a.k.a Obi'S
0 Reactions
2 Replies
817 Views
Hello esteemed members, My namer is sharky For months I have been following the very exciting discussion threads posted by various members of this forum and I have been very impressed by the...
0 Reactions
1 Replies
927 Views
Hellow JF, Thanks for welcoming me to this forum which is highly respected. Kwa pamoja tushirikiane kujenga nchi yetu. Asante sana
0 Reactions
2 Replies
852 Views
Nawasalimu wana JF wote. Nimejiunga nanyi naamini ninayoyapata humu yanazidi kufanya nipige hatua moja zaidi. Asanteni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello wana JF
0 Reactions
2 Replies
768 Views
:sad:Ni kweli nchi imewekezwa rehani kwa kutumia vitisho, vyombo vya dola (ikiwemo mchakachaji namba moja tume ya uchaguzi) na viongozi wa serikali waliowekwa kwa hisani ya uswahiba
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pembe anatoa salaam na shukrani kwa kumkaribisha JF.
0 Reactions
1 Replies
808 Views
Hello wana JF, just joined the Forum. Nimepata habari nyingi nzuri an muhimu sana hapa, keep it up!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiukweli Am Glad leo kuwa member HALALI wa JF, Ni kwa muda mrefu nilikuwa naitamani nafasi hii ya kuwa mmoja wa WADAU wa jukwaa hili, nikaona kwanini NIFE na MAUMIVU yangu?Kwa hiyo 1 namshukuru...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Naskia ukiruka stage ni lazma utaipitia tena baadaye. Mfano ulivyokuwa mtoto kama ulitoka hatua ya kukaa, ghafla ukaanza kusimama dede basi hata kama uzeeni ni lazma utakuja kutambaa tu. Mimi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…