Nimerudi tena: Hodi jamani!!

Nimerudi tena: Hodi jamani!!

KAUMZA

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
699
Reaction score
241
Wana-Jf, nimerudi tena. Nilikuwa nimepata ziara kidogo katika nchi za wenzetu za Scandinavia. Niliwa-miss sana. Nimerudi na ninadhani kwa uwezo wa Mungu wote(wanajukwaa) mu wazima wa afya.
 
Karibu, usiwe mbahili wa hivy ulivyopata kutoka nchi za Scandinavia
 
Wana-Jf, nimerudi tena. Nilikuwa nimepata ziara kidogo katika nchi za wenzetu za Scandinavia. Niliwa-miss sana. Nimerudi na ninadhani kwa uwezo wa Mungu wote(wanajukwaa) mu wazima wa afya.
Za safari........
 
Karibu tena.... ila nijuavyo mie, huko net iko available kuliko bongo na ina speed ka mshale sasa sijui ulikuwa scandnavia ipi mkuu!!!:twitch:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom