Hongerini wana jf

BrantCawen

Member
Nov 20, 2010
25
2
wadau kwanza naomba kujitambusha kwenu kwani mimi ni member mpya. Pili nachukua fursa hii kuwapongez wote mliotumia muda na akili zenu kUfuatilia na kuchangia kwa maono ya fikra chanya kuhusu swala zima la uchuguzi wa mwaka huu. Ni ukweli usiopingika kwamba JF imekua chachu kubwan sana ya kupigana na ufisadi na imechangia kwa kiasi kikukwa kutoa elimu ambayo kwa njia moja au nyingine imeisaidia jamii yetu ambayo wengi wetu tunaishi chini ya dola moja. MWISHO NATOA WITO KWAMBA TUENDELEEE NA NGUVU ZETU ZA KUKOSOA KWA NIA YA KUBORESHA KWA KUFUATA TARATIBU ZINAZOKUBALIKA BILA KUVUNJA SHERIA.__________________________
mother of the bride dresses
discount wedding dresses
mother of the groom dresses
 
Asante sana na unakaribishwa kwa mikono miwili, mchango wako unahitajika ili kuiendeleza JF!
 
Back
Top Bottom