Hodi hodi humu...wakaka msinitongoze.....mahalatito ....msinisute.

Hodi hodi humu...wakaka msinitongoze.....mahalatito ....msinisute.

Memo

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
2,157
Reaction score
760
Jamani nimevutiwa na mijadala motomoto..........nikaribisheni basi nijisikie raha!!
 
Memo,
Sina hakika na jina lako hilo, sijui umekuja kutupa ONYO humu jamvini ama otherwise..
 
Memo,
Sina hakika na jina lako hilo, sijui umekuja kutupa ONYO humu jamvini ama otherwise..
Usiogope, lina history flani. asante Mpevu
 
Asanteni kwa ukaribisho.
 
karibu sana - naomba namba zako za simu..............................................
 
duh umejuaje humu wakaka wanatongoza?hiyo ndo adabu uliyokuja nayo toka kwenu?mnafubnzwa kweli maadili kwenu ww?:frusty:
 
Karibu sana, ila hiyo midomo yangu mhhhhhh! very sexxxy...pata kinywaji unachopenda kwenye hiyo fridge hapo pembeni.
 
mgeni mwenyeji huyo
jamani kuna watu wanawasoma kwa mika kadhaa humu ndo wanaamua kujirejista...........hahahaa! anakuwa mwenyeji mgeni.

you are vere vere welcome pande hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom