Hongera wanajamii

Hongera wanajamii

BenyRugakingira

New Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
3
Reaction score
0
Nimara yangu ya kwanza kujitambulisha naomba wanajamii mnipokee jamani.Benedicto Rugakingira niko Barrick.
 
karibu sana, hope tutafaidika na ujio wako na mawazo yako mapya.
 
naomba utumie nickname ndugu yangu kwa usalama wa afya yako! Otherwise uthibitishe kuwa wewe ndiwe mwenye jina hilo, husijekuwa unatumia jina la mtu mwingine kwa maslahi yako! Otherwise karibu mjengoni, huku hatuapishani
 
Nashukuru sana kwa uhauri wenu hata hiyo yaweza kuwa nickname sihofii afya yangu ndg.kazi njema.
 
Nimara yangu ya kwanza kujitambulisha naomba wanajamii mnipokee jamani.Benedicto Rugakingira niko Barrick.
Barrick.....specifically wapi........??? Buzwagi, Kahama Gold Mine, Musoma...??? Isije ikawa tuko wote uliko.............. Nishakaa Kakola sana tu
Anyway karibu Jamvini kama ni mara ya kwanza...........Maana kuna wengine ni kanzu mpya lakini shehe ni yule yule
 
karibu benedicto,karibu sana naamini una gold ya kutosha
 
Karibu sana uwe kwenye jumba la magreat thinkers na kuna room humu ndani wanajipenyezaga malitle thinkers usikae hapo utachemsha
 
Barrick.....specifically wapi........??? Buzwagi, Kahama Gold Mine, Musoma...??? Isije ikawa tuko wote uliko.............. Nishakaa Kakola sana tu
Anyway karibu Jamvini kama ni mara ya kwanza...........Maana kuna wengine ni kanzu mpya lakini shehe ni yule yule
Mimi niko Tarime kama nawe ni miner tunaweza kuwasiliana hapa Nyamongo.Great thinker hebu leta hbr.unaonaje hiyo ndoa ya mjengoni haitaua upinzani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom