Kushukuru na kuaga... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kushukuru na kuaga...

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Leney, Feb 10, 2011.

 1. L

  Leney JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa wanajamii wenzangu...

  Yah: Kushukuru na kuaga

  Jamani, nimekuwa full member tangu december, 2010. Nilianza kama mchezo tu lakini sasa nimeanguka, nimezama... Mlango niliopitia ni jukwaa la siasa..taratibu, nikaanza kutembelea vyumba kama jukwaa la technologia, nafasi za kazi, etc...nilikosea pale nilivoingia master bedroom...Jukwaa la Mahasiano, Mapenzi na Urafiki.

  I really wana stay here, but kwa hii miezi miwili, I have to admit, nimekuwa bize kupitiliza, nikifatilia hii thread, kabla sijamaliza imeshaanzishwa nyingine, na tatizo ni kwamba topics zote ni nzuri na pia huwa nataka kusoma maoni ya kila mtu. Sasa nakimbilia kwenye kutokulala...ili ni catch-up na threads zote, na hivi na bunge limeanza....

  Sasa basi, kwa huu mda, nataka tu niwaage (I dont know how long this will take). Najua kuwa socializing is part of life, lakini pia the first step to healing is confession, I confess being an addict.

  Its not easy, maana nilikua nimewazoea watu wengi, yaani to the extent kwamba kabla mtu hajacomment, unakuwa ulishahisi huyu atacomment nini, its one big family where there no boundaries, no segregation, and where people accept you (or your avatar), for who you present yourself to be. Na pia nimejikuta nafall for this forum, coz watu sio pretenders (kama wapo ni wachache sana), ukileta uzuri, watu wanakwambia live...I luuurrrrrve JF.

  Thanks everyone for every word that brought a smile to my face, any words that brought hope to this nation, and the un-ending advice that you people are always willing to give. I will miss JF.

  My hope is that one day, this will be real, that I will sit and be surrounded by the great thinkers...I wish, and I wait.

  Stay blessed and keep those smiles coming...life is too short.

  Remember
  Your happiness is not someone else's responsibility.... Usijipunje, make yourself happy

  Leney
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Feb 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ahahahahaah! Unadhani hiyo ndio tiba ya addiction? Omba ban ya maisha labda itasaidia. Kila la heri!!
   
 3. L

  Leney JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Yaani wewe Katavi mi navoogopa ban...tena ya maisha... je miaka ijayo nikiikumbuka sana JF ntarudije sasa?

  NOTE:
  Kabla sijaondoka ntakua sijakutendea haki kutokutambua mchango wako kwenye hili jukwaa la kukaribisha wageni...kamati ya ukarimu inakufaa sana Katavi...tafakari....
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Usikimbie bana!...
  Jaribu nafasi ingine kwa kujipangia ratiba na kuwa strict nayo!
  Vinginevyo kila la heri kwa hicho unachokiendea, maliza salama urudi!.
  Jina lako limeshazoeleka hapa, na hatutakufuta kirahisi!
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hahaha leney naona JF imeingia hadi kwenye mishipa yako ya damu l.o.l
   
 6. L

  Leney JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  PJ yaani we acha tu. Ntafeli mdogo wako bure...
  hii wiki nimefanya majaribio ya kuifungua JF kwa masaa mawili...lakini dah nikifungua mambo ni mengi humu nashtukia masaa yameji-double. Ngoja kwanza nimalize haya majukum (ingwa majukum huwa hayaishi), ntarudi for sure, ndo maana staki ban, ntajitahidi tu nisiwe naifungua badae ntazoea.

  You guys are wired into my brain and heart...
  Ubarikiwe PJ, for evrthn that you have done for this forum...ur a blessing
   
 7. L

  Leney JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Usinicheke TF, ni ugonjwa huu, hivi how do you make it guys? kwa mfano majukwaa ni 15, hapa nalia ugonjwa lakini sijawahi kufungua majukwaa mengine kama JF doctor, huwa nafungua majukwaa kama manne na yananikimbiza... labda kama kuna dawa....
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,635
  Trophy Points: 280
  Aisee Leney come back bana.

  babu is in love with you!
   
 9. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwa quotation hiyo, nenda kajipe raha kwa raha zako, usijipunje
   
 10. semango

  semango JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ukijipanga na kua na ratiba unaweza kumudu majukumu na at the same time kuendelea na jf otherwise ukisema ujitoe mazima ujue utakua umejibania furaha yako.as you have said 'usijipunje, make yourself happy'.....maisha yenyewe mafupi kweli, enjoy while you can.if jf inakufanya uwe peponi then go for it!!
   
 11. L

  Leney JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Babu wakati huku wakikuta nimezimia kwa mbavu zangu kuuma..inabidi wakukamate wewe apo...we mtu gani kila siku unatuchekesha hivo wajukuu zako?

  Leney must resist babu's temptation...Leney must go...
   
 12. L

  Leney JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  We acha tu my dear...
  Labda sijitendei haki maana na humu kuna raha mpaka basi (ukiacha jukwaa la siasa)..zimeniteka mpaka kazi haziendi...
   
 13. L

  Leney JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapa JF waweza sahau ma-shida yako yote...

  But if I go for it, huku ntalala njaa mpendwa... ntakua mgeni wa nani sasa?
   
 14. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  pls leney,,,usiende kimoja kaa nasi hata kwa kubip ili nisikukose sana,,hata hivyo nakutakia kheri,blessings
   
 15. P

  Pokola JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  :coffee:
   
 16. L

  Leney JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  The one and the only wiselady,
  usiseme "pls" najisikia vibaya mwenzio,
  Mi ntakukosa sana mpenzi, yaani kwanza wewe na Katavi mmeweka historia ya kukaribisha wageni (clap for ur self)...
  mi ntamiss that smile of urs... itabidi niwe naibia kuja kuona kama hilo smile bado unalitunza...
  thanks mamie for the wishes...
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,635
  Trophy Points: 280
  If thats the case...babu anatupa mkongojo wake, babu anasahau ugoro wake, babu anaongozana na Leney wake kwenda kwenye nchi ya kusadikika.

  Wajukuu niagieni kwa bibi enu. Lets go Leney darling. Lets go!
   
 18. L

  Leney JF-Expert Member

  #18
  Feb 10, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kahawa will tempt me, maana kahawa ya JF ina branding ya JF, ukinywa tu, unasahau kuaga...LOL
   
 19. L

  Leney JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Babu ona sasa, nisingejibu tu ile post yako ndo dawa...maana hapa am bizzy smiling...WE NDO UMESABABISHA...aaagggrrr!!!

  Hapo kwenye red...ntakua nakimbia mvua nakimbilia baharini...yaani nakimbia addiction, halafu naondoka na addiction source..LOL

  Leney has refused...Leney is being a strong girl... so Leney must go ALONE!!
   
 20. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahaha!thx dearest,nimecheka ingawa on the other side umenihuzunisha!the smile will alwayz be here 4 u,naomba usikawie kurudi,,,gud cheer
   
Loading...