Mimi ndo nimejiunga

Mimi ndo nimejiunga

kavishe

Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
5
Reaction score
0
habari zenu jamani wapedwa wa JF! naomba munipokee kwa mikono miwili! sijui A wala B!
 
Karibu sana mkuu, tunategemea mengi mazuri toka kwako, kama utakavyopata mengi mazuri toka hapa janvini
 
habari zenu jamani wapedwa wa JF! naomba munipokee kwa mikono miwili! sijui A wala B!
Hapo penye wekundu ndio pana utata, sasa imekuwaje ukajiunga??? Anyway karibu!!!:coffee:
 
Karibu sana sana Kavishe,huyo hapo juu ndo Hashycool na juu yake ni kaka yake anaitwa The Finest.....wengine wanafuata.......:roll:
 
kaka pande hizi pia upo?.....l.o.l
karibu sana kavishe...HUYO HAPO JUU NDO FAINEST
Kaka nimeona ni du the nidful pande hizi maana huwa ni adimu sana mimi kukaribisha wageni halafu ujue wewe nakutafuta sana
 
Karibu sana sana Kavishe,huyo hapo juu ndo Hashycool na juu yake ni kaka yake anaitwa The Finest.....wengine wanafuata.......:roll:
Kavishe huyu Michelle ni shemeji yangu kwa Hashy naomba umpe heshima yake usije ukaanza shemeji shemeji huku wazima taa
 
Kavishe huyu Michelle ni shemeji yangu kwa Hashy naomba umpe heshima yake usije ukaanza shemeji shemeji huku wazima taa

mmmhhh tunaweza tukaliongelea hilo Kavishe usijali eehhh,ukiniona nakufaa just Pm me....kama hujui ku-PM ntakufundisha....l.o.l:laugh:
 
:A S-alert1:jamani, nashukuruni sana kwa mapokezi yenu! nimefurahi sana kwa kunikaribisha hapa, na pia nitawaheshimu wote! hapa hakuna cha shemeji shemeji huku ukizima taa! ni urafiki tu! na si vinginevyo! nawapenda wote na nitaonyesha heshima kwa wote! hawe mkubwa au mdogo kwangu!

Namalizia kwa kusema Asante sana marafiki zangu kwa mapokezi yenu!

kaaaaaaa.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom