ngo...ngo...ngo... hodiiiii.

ngo...ngo...ngo... hodiiiii.

ingia salama salimini bila shari
 
Karibu sana humu ndani.... swali dogo tu, hivi ujirani unaombwa au uwa unakuja automatic :coffee: !!!!!
 
Karibu, bahati yako umenikuta natengeneza kahawa. Nikuwekee maziwa na sukari?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom