Hodi hodi

karibu sisi wadau tunakujali na tunahitaji mchango wako, huku tunahitaji michango ya watu makini kama wewe! naamini kila mwanachama atafurahi ujio wako
 
Binti ashura unajuaje kama huyu mdau ni makini? Maana hajatoa mchango wowote bado, anyways karibu manyovu feel at home
 
Karibu sana mpendwa lakin hapa ulipobandika bandiko lako si mahala pake. Kama sijakosei nafikiri ulitakiwa ubandike kwenye jukwaa la utambulisho wa new members.
 
Mpui nimesikia habari za Sheick, aliwatabiria wengi sasa zamu yake imefika ila kama hakutubu dhambi zake tayari ameripoti sehemu ya kuanza kuvuna alichopanda hapa duniani.

Kigoma kwema japo nina muda sijaenda kusalimia; bado tunasubiri Dubai aliyotuahidi mheshimiwa pamoja na kuwa wilaya zetu hazina umeme wala barabara nzuri.
 
karibu sana mgeni, tunategemea kupata mengi kutoka kwako. Soma kwa makini sheria na kanuni za jf!
 
Mpui nimesikia habari za Sheick, aliwatabiria wengi sasa zamu yake imefika ila kama hakutubu dhambi zake tayari ameripoti sehemu ya kuanza kuvuna alichopanda hapa duniani.

Kigoma kwema japo nina muda sijaenda kusalimia; bado tunasubiri Dubai aliyotuahidi mheshimiwa pamoja na kuwa wilaya zetu hazina umeme wala barabara nzuri.

Karibu sana. Kama hujenda siku nyingi naona huna habari za huko. Barabara za kuunganisha Kigoma na mikoa miingine zimeshaanza kutengenezwa, umeme bwereree, mitambo mipyaaaa. Nashanga hata hili la umeme huliojui, kweli haupo kigoma basi hata habari za huko hupati?

Halafu yote hiyo ya umeme na barabara ni jitihada binafsi za Mh. Zitto Kabwe.
 
....................................na pia kuna ghorofa jingine linachomoza mjini kigoma katikati hili ni la NHC,na barabara ya Manyovu nayo yakaribia kukamilika.karibu sana Manyovu,michango yako ya hali na mali inahitajika.
 
Back
Top Bottom