bwana asifiwe

bwana asifiwe

WANALIZOMBE

Member
Joined
May 18, 2011
Posts
50
Reaction score
14
salaam MA BIBI na MA BWANA, nachukua fulsa hii kujitambulisha kwenu.

Ahsanteni
 
Karibu sana. Hilo jina ni la kikundi au lako peke yako?

umeona enhh?
umenichekesha jaman...itakuwa kaibeba lizaboni,mfaranyaki,matarawe,misufini,majengo,manzese,matogoro mpaka peramiho yote kapita lilambo katokea luhuwiko alishuka kidogo maposen now yupo jf...uyumwiki wa bambu?monil!!!

karibuuuuuuuuuuu!!!!!
 
Amen karibu sana im extremely very sure that you will enjoy being here especially kama umekuja on your own free will. na sio umetumwa na watu fulani fulani
 
umeona enhh?
umenichekesha jaman...itakuwa kaibeba lizaboni,mfaranyaki,matarawe,misufini,majengo,manzese,matogoro mpaka peramiho yote kapita lilambo katokea luhuwiko alishuka kidogo maposen now yupo jf...uyumwiki wa bambu?monil!!!

karibuuuuuuuuuuu!!!!!
Unavyoyajua maeneo ya huko, ni kwenu au katika mizunguko tu. Na hilo jicho kwenye avita ni kwangu tu au kila mtu..tehe..tehe
 
karibu, soma vizuri sheria za JF before you proceed. ......tumsifu yesu kristu!
 
umeona enhh?
umenichekesha jaman...itakuwa kaibeba lizaboni,mfaranyaki,matarawe,misufini,majengo,manzese,matogoro mpaka peramiho yote kapita lilambo katokea luhuwiko alishuka kidogo maposen now yupo jf...uyumwiki wa bambu?monil!!!

karibuuuuuuuuuuu!!!!!

dhu! mamitooo, mwonire!
 
Back
Top Bottom