Naombeni Hifadhi hapa Jamvini

Naombeni Hifadhi hapa Jamvini

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
21,039
Reaction score
53,917
Hello wana JF
Nimechoka kukaa Bohari Kuu Ya Madawa pale keko, naomba mnikaribishe kama mlivyowakaribisha Tablets wenzangu ili na mimi niwe mwana JF, naahidi tutashirikiana bega kwa bega katika majukwaa ya MMU, SIASA, HOJA na mengineyo...
Mkuu Katavi naomba unionyeshe pa kujistiri.
 
pamoja kama tablet na maji:dance::dance::dance::dance::dance::dance:
 
Pamoja sana! Ili uweze kuwa absorbed haraka na kuwa na high bioavailability ya dawa kwenye plasma ....tumia Beer kumezea dawa.

Karibu somo!

Mimi nitabakia mkubwa wako
 
Sawa Fellow Tablet senior nilikuwa niwe dogo wako wa ukweli lakini naona mkuu wa jamvi alikuwa anafanya makeke nisiwe Junior lakini wewe ni mkubwa wangu hilo sina ubishi nalo....
 
Kamata 5! Mambo lakini ni aje?
 
Karibu sana, sharia zimo na zazingatiwa.
Ukoseapo ni 'ban'
 
Asnte kwa kunikarimu
hapo kwenye blue sijaelewa ni lughya ya wapi hiyo samahani, kuuliza sio ujinga
 
Karibu mkuu nahisi nina kifaduro kila nikiona sket u2livu ziro kabisa vp tiba ya uhakika ipo mkuu au niwahi tu Loliondo?
 
Kaanzishe pharmacy huko huko Loliondo mazee!

hahaa haaaa
nitakula loss, kikombe jero tablet bei iko juu
kuna jamaa hapo juu kaniambia nizingatie SHARIA, hivi ni lugha ya nchi gani hiyo?
 
Karibu mkuu nahisi nina kifaduro kila nikiona sket u2livu ziro kabisa vp tiba ya uhakika ipo mkuu au niwahi tu Loliondo?

nadhani hayo ni mapepo...
a hiyo tiba inaendeshwa na maombi kuna jamaa anajiita Rev Fr Masanilo hbu cheki nae...
 
Hello wana JF
Nimechoka kukaa Bohari Kuu Ya Madawa pale keko, naomba mnikaribishe kama mlivyowakaribisha Tablets wenzangu ili na mimi niwe mwana JF, naahidi tutashirikiana bega kwa bega katika majukwaa ya MMU, SIASA, HOJA na mengineyo...
Mkuu Katavi naomba unionyeshe pa kujistiri.

Wape Kataviiiiii????

Enways i hope dawa zako zaponya... Karibu saana naona kweli wewe mwenyeji.
 
Hello wana JF
Nimechoka kukaa Bohari Kuu Ya Madawa pale keko, naomba mnikaribishe kama mlivyowakaribisha Tablets wenzangu ili na mimi niwe mwana JF, naahidi tutashirikiana bega kwa bega katika majukwaa ya MMU, SIASA, HOJA na mengineyo...
Mkuu Katavi naomba unionyeshe pa kujistiri.

Fellow Tablet 1..........karibu,KEKO hawajambo,karibu humu kuna kila kitu pamoja na KEKO yenyewe,ngoja nikuwashie kiyoyozi usije expire bure wakati tunasubiri wenyeji wengine,ila zingatia kanuni na taratibu..........................kumbuka unaweza sababisha milipuko kama ya ya mbagala
 
asante mwenzetu, nashukuru familia yetu inakuwa kuna matablets kibao lengo letu ni kupambana na lile gonjwa linalotia hasira watu humu jamvini
 
karibu mzee wa tablet, hapa hatutoi hifadhi, tubnatoa jamvi na kukaa na kuchangia, any way karibu sana na jisikie uko home kwako. siku hizi deel kikombe mkuu, tablet hazina soko
 
Back
Top Bottom