knock knock

senki yu . Naamini ntafeel @ home jamvini. Naona majukwaa yamejitosheleza
 
asante chatu dume.. Bado napata orientation kujua sebuleni wapi na jikoni wapi
 
asante chatu dume.. Bado napata orientation kujua sebuleni wapi na jikoni wapi



Hey Prude... karibu dear...

Uzuri wa hapa jamvini vyumba vyoote milango imeandikwa majina,
uko huru kabisa kuingia na kujumuika mana sasa nawe ni mwana JF tayari...

Enjoy...
 
Mwanangu wa kwanza anaitwa Prince!
Mwanangu wa mwisho anaitwa Prude!

Karibu sana!
 
Mwanangu wa kwanza anaitwa Prince!
Mwanangu wa mwisho anaitwa Prude!

Karibu sana!

prude,prince,pakajimmy.................................prude karibu sana humu jf ,je nawe unao wanao???????, ...............je?? wa kwanza anaitwa nani,na wa mwisho jeeeeee???,ni wawili tuu................au una wengine, kama unao wanaitwa je??..........................,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom