mimi hapa ni mpya wasee wangu

mimi hapa ni mpya wasee wangu

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,442
nimejiunga hapa kujifunza mambo mengi wasee wangu,kuna mijamaa hapa moshi wamasema eti nyie ni watu wenye kipaji cha kufikiria sana,asanteni sana
 
Kajitambulishe kwa balozi siyo huku mtaa wa siasa.
Hiyo avatar yako, huyo mwanajeshi ana miguu mitatu kama bajaji?
 
nimejiunga hapa kujifunza mambo mengi wasee wangu,kuna mijamaa hapa moshi wamasema eti nyie ni watu wenye kipaji cha kufikiria sana,asanteni sana
Karibu.Moshi, umetokea upande gani hapo ?
 
Duh wewe ndugu karibu lakini umeingiana kituko hicho cha miguu 3 .Karibu kwa jamvi makini
 
Back
Top Bottom