5428 members online, current time 2340 hrs, i like!. Lakini bado overall percentage ya watumiaji internet tz ni ndogo sana, lets keep this going. By the way, I come in peace wanaJamii Forum..
Kwa muda nimekuwa msomaji lakini sio mshiriki wa mada. Lakini sasa nimeamua kujitambulisha rasmi. Msijali karate zangu ni kwa ulinzi binafsi tu na kama sanaa, msiniogope!!!! Au vipi!!!
salaam wana JF,
Imekuwa ni mda mrefu sana tangu nilipotoka sasa zidi ya miezi 6 vile, nilikuwa nimetoka kwenda nchi za mbali kwa masuala ya hapa na pale.
Sio siri nimekuwa nikiwakumbuka sana, ila...
Hi!JF, mimi binafs nimevutiwa na mijadala yenu na ushauri mnaowapa wenye mattzo hapa jf,nimefurah kuingia humu kwn najua nitafaidika na mengi kutoka kwenu,naomben mnipokee jaman!
Thnx.
Hod jf,mm c mgen sana wa kusoma threads za jf hasa mmu na job vacancy forums,nimeamua kujiunga il nami nipate fursa ya kuchangia mada za humu ndan,mnipokee wandugu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.