Hodi hodi wakubwa

Hodi hodi wakubwa

hengo

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2011
Posts
402
Reaction score
50
Hodi wenyewe,baada ya kutembelea jamvini muda mrefu leo nimeamua kuhamia,naomba mnipokeee.
 
u are welcome dear one...but remember to b careful (very much) with wateva u post...avoid udini,ukabla na uchama....otherwise....im happy to b among da first ppo to welcome u...nyc tym in jf:becky:
 
u are welcome dear one...but remember to b careful (very much) with wateva u post...avoid udini,ukabla na uchama....otherwise....im happy to b among da first ppo to welcome u...nyc tym in jf:becky:

Karibu mkuu. Mkuu PJ atafika huku mida mida, atashusha mzigo wa haki na wajibu wako kuwa hapa jamvini.

Karibu sana!!
 
karibu, karibu sana, wenyeji wengine wapo ndani, karibu sana
 
Kwa kutambua kwako kua sie ni wakubwa,
tunakupokea kwa mikono miwili...

Karibu hadi sebuleni uketi... Katavi analeta kinywaji...

Enjoy...
 
Jamani mnamaoni gani kuhusu hali ya kisiasa ya sudan kusi na kas baada kugawanyika kama mataifa tofauti?
 
Back
Top Bottom