Hodi wana JF!

Hodi wana JF!

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
690
Reaction score
354
Kwa muda nimekuwa msomaji lakini sio mshiriki wa mada. Lakini sasa nimeamua kujitambulisha rasmi. Msijali karate zangu ni kwa ulinzi binafsi tu na kama sanaa, msiniogope!!!! Au vipi!!!
 
Ahsante!! je una muda tukutane mkuu wa majoka nicheze karate nawe kuna stail yenu ya snake napenda nifanyie jaribio?? Ha ha haaaa!!
 
Karibu sana mcheza karate jamvini...
 
Uoga jf huja na contributions... majina sio kitu...


Karibu saana jamvini...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom