Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Wenyeji naomba mnikaribishe nami niwe familia ya Jf.
0 Reactions
3 Replies
720 Views
Siku nyingi sana nilitaman kujiunga nanyi wana jumuiya,leo nimefanikiwa kuingiza guu lang katika forum hii maarufu nchin na hata nchi za nje! Nipokeeni basi wana jamii..
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wenyeji naomba mnikaribishe nami niwe familia ya Jf.
0 Reactions
7 Replies
952 Views
hodi hodi wanajavi
0 Reactions
3 Replies
892 Views
jamani naomba mnipokee ili na mimi nijifunze mengi kutoka kwenu.asanteni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi
Am a new comer hw z jamiiForums jamani
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau nisaidieni kuna mshkaj wangu kajiunga jf na real name yake so ajifili safe. Msaada wenu plz
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Hello! nimejiunga na nyinyi kuanzia leo
0 Reactions
10 Replies
1K Views
wakubwa shkamooni wagogo habari zenu.mi mgeni kabisa humu sielewi chochote.nahitaji mwongozo .si mnajua tene kuku mgeni hakosi kamba mguuni?
0 Reactions
4 Replies
977 Views
Hello JF members!!
0 Reactions
8 Replies
974 Views
Maana yake ni Oyaaaaaaa au hongeraaaaaa au tumeshindaaaaaa Naomba mnikaribishe wanajamvi, na Cherekaaaaaaaaaaaaa ndo staili yangu ya nitoke vipi. Bacardi
0 Reactions
10 Replies
889 Views
Hiv nn maana ya ku PM mm ni mgeni hapa jamvini tafadhari sana mwenye kunisaidia anisaidie
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani mgeni mie naombeni ridhaa yenuu wakuu ndo nijumuike nanyi..
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaamu ni kitu kizuri, tutakutana katika mijadala. Ahsante.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mamboz!! Jamani am so new... Lukin 4ward 4 a warm welcum frm you ol!
0 Reactions
4 Replies
965 Views
Jamani mgeni mie naombeni ridhaa yenuu wakuu nijumuike nanyi..
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam, Nashukuru uongozi wa jamiiforums kwa kunikubalia kuwa mwanachama. Nawahakikishia ushirikiano mzuri wa mawazo kwenye mijadala yote inayowekwa humu Asanteni sana, SIMBA mtoto.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hellow kuna mtu huku jamani nasalimia tu nlipitaga zamani nimeamua kuwajulia hali tena !
1 Reactions
3 Replies
897 Views
natafuta marafiki wakuchati nao, pamoja na kupeana komment za ukweli? Mimwenyeji wa mwanza
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Am a new member here, so I wish to get much support from u all guys, mapambano ndio kama yanaanza
0 Reactions
10 Replies
960 Views
Back
Top Bottom