Assalam Alaykum warahmatullah wabaraqaat

Assalam Alaykum warahmatullah wabaraqaat

azab

Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
6
Reaction score
0
naomba niwasalimu wote kwa pamoja kwa maamkizi mema na yaamani tena yenye baraka tele mbele ya muumba wetu
"Assalam Alaykum warahmatullah wabaraqaat"
 
waleykum salaam warahmatullah taalah wabarakat.
karibu sana JF.
 
Waaleikum Salam WarahmatuAllahi Wabarakatu means amani iwe juu yako na wewe pia
 
khulub maalim,huku kuna vishwa ngumu,pasua kishwa na magreat thinkers.
anza kuchangia tukujue shehe wangu.
 
Bismillah astaghafilurahi wabaraqat rahim.

Kareeb sana humu jamvini ( isome Ki sheikh sheikh)
 
Waleykum salam, hebu pata kikombe cha kahawa kwenye hiyo chupa nyeusi hapo mezani na hizo kashata zilizofunikwa na kawa. Karibu sana jamvini na ujisike uko nyumbani kabisa.
 
naomba niwasalimu wote kwa pamoja kwa maamkizi mema na yaamani tena yenye baraka tele mbele ya muumba wetu"Assalam Alaykum warahmatullah wabaraqaat"
Karibu JF ila hapa tunatumia Kiswahili na Kiingereza na wala sio kiarabu wala kiyunani. Hapa tunashindana kwa hoja na wala si vioja.
 
Kristu tumain letu, ila usije na misimamo ya kiimamu ila uje kigreat thinker
 
W,salaam Warahmatullah Taala Wabarakatu. Karibu sana ndugu yetu. Jitayarishe na Raha na Karaha.
 
waley kum salaam...... Karibu sana jamvini!
 
Waaleykum salaam warahmatullah taala wabarakatu
naomba niwasalimu wote kwa pamoja kwa maamkizi mema na yaamani tena yenye baraka tele mbele ya muumba wetu"Assalam Alaykum warahmatullah wabaraqaat"
 
Back
Top Bottom