hodi hodi

hodi hodi

memaria

New Member
Joined
Jun 24, 2011
Posts
4
Reaction score
0
mimi ni mgeni napenda sana kuwa mwanajamii wa JF naomaba kupokelewa
Natanguliza shukrani
 
Karibu karibu mgeni jisikie upo nyumbani kabisa, vua viatu..pita ndani!
 
mimi ni mwanachama mpya jF naomba nipokelewe kwa mikono miwili wapendwa.
 
mimi ni mgeni napenda sana kuwa mwanajamii wa JF naomaba kupokelewa
Natanguliza shukrani

memaria...........................,karibu mgeni............................,hongera kuwa mwanajamii wa JF...............................,(naomaba)...........................naamini kuwa ulikuwa una maana ya naomba kupokelewa,.......................................umepokelewa hata kama umekosea kidogo,.............ndo ugeni huo............................,usijisikie vibaya...................................utazoeya tuu...............tafuta na avatar nzuri ujiwekee mwenyewe mwana JF......................................baadaye utajua hata ku PM...................................kuna kugonga thanks pia...............................jifunze tuu pole pole,......................................kuna majukwaaa kadhaaaaaaa, mpaka ya wakubwa kama weye ni mkubwa yapo tele tele................................Kwani? je? weye mdogo au mkubwa????..............................................kuna kuichangia pia JF (uelewe mapema) kwani siku hizi si kama zamani kwani umeme ni wajenerator,simu si kama zamani wakati wa mashirika ya umma unakumbuka shirika la POSTA na SIMU, ....................................................,elewa kuwa mkono mtupu haulambwi..............................................umetanguliza shukrani.......................nami nasema asante sana ,.............................na karibu sana JF,hakika huku kuna kila kitu kizuri na kibaya,.....................................................Utafurahi sana,majukwaa ni mengi na wana JF wanakusubiri kwa hamu sana.........................................................................Ushauri tuu, fuata kanuni na misingi,................................hakika utafurahi sana...............................................Karibu sana Memaria,........................................karibu sana uwanja ni wako........................................hapa ndo JF
 
Memaria ana bahati sana, wengine hatukukaribishwa kwa uzuri namna hii, dah! Sijui nikagonge tena hodi...Memaria kuonyesha shukrani mjibu basi weye ni mdogo au mkubwa au ushamjibu? maana cjafika chini huko....kupitia hapa na mimi nakukaribisha Memaria....anyway Memaria ukitoka hapa sijui unaelekea jukwaa gani? Mi nimetoka siasani nataka niende jukwaa la M.U.M au utani nikatafute appetite.
 
Karibu chakula, una bahati sana umeingia wakati tunakula. Karibu hadi chumbani kwangu, usiogope mi sina mke, so usiogope chochote Memaria! Sory nimesahau kukuuliza, hivi we ni mwanamke/msichana au mwanaume/mvulana?
 
Mwenzetu, Ndugu yetu, Mwalimu....................

memaria...........................,karibu mgeni............................,hongera kuwa mwanajamii wa JF...............................,(naomaba)...........................naamini kuwa ulikuwa una maana ya naomba kupokelewa,....................................... umepokelewa hata kama umekosea kidogo,.............ndo ugeni huo............................,usijisikie vibaya...................................utazoeya tuu...............tafuta na avatar nzuri ujiwekee mwenyewe mwana JF......................................baadaye utajua hata ku PM...................................kuna kugonga thanks pia...............................jifunze tuu pole pole,......................................kuna majukwaaa kadhaaaaaaa, mpaka ya wakubwa kama weye ni mkubwa yapo tele tele................................Kwani? je? weye mdogo au mkubwa????........................................ ......kuna kuichangia pia JF (uelewe mapema) kwani siku hizi si kama zamani kwani umeme ni wajenerator,simu si kama zamani wakati wa mashirika ya umma unakumbuka shirika la POSTA na SIMU, .................................................. ..,elewa kuwa mkono mtupu haulambwi......................................... .....umetanguliza shukrani.......................nami nasema asante sana ,.............................na karibu sana JF,hakika huku kuna kila kitu kizuri na kibaya,........................................... ..........Utafurahi sana,majukwaa ni mengi na wana JF wanakusubiri kwa hamu sana.............................................. ...........................Ushauri tuu, fuata kanuni na misingi,................................hakika utafurahi sana.............................................. .Karibu sana Memaria,........................................ka ribu sana uwanja ni wako........................................hapa ndo JF
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom