Helow

Helow

Siimay

Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
59
Reaction score
12
Jamani mgeni mie naombeni ridhaa yenuu wakuu nijumuike nanyi..
 
Karibu sana, unatumia kinywaji gani Chatu Dume akuletee?
 
Karibu sana jamvini! Katavi kanipa juice ya makamilwa nikupe pita ndani mkuu!
 
karibu, uwapo na tatizo na kiu ya kutaka kujua usiwe na shaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom