Jamani natafuta marafiki humu?nipokeeni

Jamani natafuta marafiki humu?nipokeeni

Karibu karibia ewe ng'wana ng'wanza! Mimi naitwa Nyani Nzagamba Ngabu Ng'wana Ntuzu wa Ikungulyabashashi, Bariadi, mkoa wa Simiyu.

Ila wewe mbona kama umetoka kufungiwa leo hii hii? Kama nimekukwaza na kama nimekosea basi niwie radhi. Hisia wakati mwingine hazizuiliki.
 
Karibu sana ng'wana ng'wanza humu Jf.Mitaa ya mlango mmoja hawajambo?
 
Unakaribishwa sana.jisikie huru humu ndani kila mtu ni rafiki zako.
 
Kama unataka friendz ndugu nenda fb,hi5, myspace. Ila kama unataka gritical arguments, comments karbu jf
 
Karibu mkuu, ni urguement zako na thread utazoanzisha ndizo zitakupatia marafiki wengi. Mwamisha mola?
 
Back
Top Bottom