S sijui kitu New Member Jul 19, 2011 1 0 Jul 19, 2011 #1 jamani naomba mnipokee ili na mimi nijifunze mengi kutoka kwenu.asanteni
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,042 10,686 Jul 19, 2011 #2 Karibu sana JF sijui kit,utajua tu.
Mshume Kiyate JF-Expert Member Feb 27, 2011 6,766 894 Jul 19, 2011 #3 Karibu sana mkuu! Katavi atakuja kukupa kinywaji baridi sijui unatumia kinywaji gani
NICK2275 JF-Expert Member Oct 31, 2010 3,931 918 Jul 19, 2011 #4 karibu sana-naamini utajua mambo mengi
First Born JF-Expert Member Jul 11, 2011 5,310 1,473 Jul 19, 2011 #6 sasa kwa kuwa umeingia humu utajua vitu. Karibu jf.