SIMBA mtoto

SIMBA mtoto

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
204
100
Salaam,

Nashukuru uongozi wa jamiiforums kwa kunikubalia kuwa mwanachama.

Nawahakikishia ushirikiano mzuri wa mawazo kwenye mijadala yote inayowekwa humu

Asanteni sana,

SIMBA mtoto.
 
...............karibu sana simba mtoto.................,naamini kwenu kuna wakubwa...............yaani simba baba na simba mama.............,ambao nao wana wakubwa zao yaani simbababu na simba bibi.................,wote hao wameishi kwa amani,upendo na heshima kubwa hata ukapatikana wewe simba mtoto.......................unachotakiwa ni kuwaenzi hao waliokutangulia.........................kwa kuendeleza heshima,upendo,amani na utulivu,......................bila kuchoka kuchangia,....................,Sio tuu katika hiyo familia yako ya akina simba bali hata katika jamvi hili.......................karibu sana simba mtoto..............................,simbamtoto hoyeeeeeeeeeeeeeeee,JF hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeee,
 
Karibu Simba mtoto. hapa uko katika familia, ukuendelea kwa heshima na adabu kama ulivo gonga hodi utakua uje kuitwa simba mkubwa one day.
 
...............karibu sana simba mtoto.................,naamini kwenu kuna wakubwa...............yaani simba baba na simba mama.............,ambao nao wana wakubwa zao yaani simbababu na simba bibi.................,wote hao wameishi kwa amani,upendo na heshima kubwa hata ukapatikana wewe simba mtoto.......................unachotakiwa ni kuwaenzi hao waliokutangulia.........................kwa kuendeleza heshima,upendo,amani na utulivu,......................bila kuchoka kuchangia,....................,Sio tuu katika hiyo familia yako ya akina simba bali hata katika jamvi hili.......................karibu sana simba mtoto..............................,simbamtoto hoyeeeeeeeeeeeeeeee,JF hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeee,
Mwenzetu vipi? uliandika ukiwa bar au? lol
 
................sina mausi...............basi na hiki kibonyabao(keyboard) yangu inanizengua sana,.......................,mi sijambo umeme leo upoo,basi nitakesha nikipasi,kutuma msg kuchaji simu,kuangalia tv alimradi umeme upoo,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom