Naomba kufahamu kama unaweza kubadili username?

Naomba kufahamu kama unaweza kubadili username?

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,777
Reaction score
42,921
Wadau nisaidieni kuna mshkaj wangu kajiunga jf na real name yake so ajifili safe. Msaada wenu plz
 
tuma mail....support@jamiiforums.com....eleza hiyo mambo hapo itashughulikiwa
 
Safe kivipi?.. anaweza mu-pm invisible,lakini utoe sbb za msingi atakusaidia..
 
Degedegedegedegedegedegedegedegedegedegedegedegedegedegedegedegedegedegedegedeged......................tendawili,
 
Acha kuficha unataka kubadili degedege ingefaa ajiite trakoma
 
Hata BWABWA alibadili na kuwa BOFLO... hvi yu wapi BOFLO??? Au ametangulia mbele ya haki???
 
Hahaaaa degedege jina langu halisi hilo.. Ila nasikitka Chatu dume na ulimikafu huo ugonjwa uliwatesa sana utotoni.
 
Mwambie afungue account nyingine..kwani si ni bure.
 
Back
Top Bottom