Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Wadau JF kwa muda refu sasa nimekuwa naitembelea hii forum kama guest lakini sasa nimetimba jukwaani nami nichangie mawazo yangu kwa ujenzi wa nchi yetu. Bila kusahau kutafuta na mke wa pili...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana jf.mm ndo kwanza naanza kutupia makoment humu ndani.so,kunikaribisha ndo ishu ya msingi.fanyeni hivyo basi halafu tuone.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
I'm a new member in here, please let me in.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Am new can u show me the way
0 Reactions
10 Replies
1K Views
niaje wanajamii forum,moto nitakaokuja kuuwasha hamna atakayeuzima
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mgen nipo mlangon najiuliza niingie vp ndan ya jumba hili kubwa la JF lenye wapangaji lukuki? Wapangaji wenzangu naomba mnikaribishe.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Jamani mi ndo mara ya kwanza ktk hili jamvi.............naomba nianze kwa salamu.............HABARI ZENU!!!!!
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wadau ninaomba mnipokee kwani hapa najua nitaelemika kwenye all aspect.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani hodi humu ndani, hodiii, wenyeji mpo?.Naomba mnikaribishe niwe mmoja wa familia yenu ya jf.
0 Reactions
8 Replies
987 Views
Wazeya 2takuwa pamoja sana 2! Ful ubishi kama wenje
0 Reactions
5 Replies
860 Views
Mambo vp wanajamii Forum,,mwanachama mpya nimeingia naomba siti wazee,,tuko pamoja au sio.
0 Reactions
3 Replies
968 Views
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikiusoma mchezo kama mtazamaji ila kwa sasa naamini nimeiva kwa ajili ya kucheza mchezo huu maalum kujadili hoja mbalimbali kwa ajili ya usitawi wa ka nchi kangu tz...
0 Reactions
6 Replies
988 Views
Nasalimu kila mmoja iliyehapa pokeeni salamu kutoka kenya tuko pamoja
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hellow! JF members, hop u r ok. Am new to this site and beg 4 ur concern in making me adopt to it. Thanx in advance and wish u fantastic moment.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenyuni wana JF
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hodi wenyeji wa jumba la watu makini. kwa jina naitwa rachi hatimae nami leo nimebisha hodi.ni matumaini yangu kuwa mtani karibisha na kuniongoza.jamani hodiiiii hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ninawasalimu wanaJf wote.Nashukuru kukubaliwa kuwa moja wa wanachama wapya.
0 Reactions
6 Replies
922 Views
Hi great thinkers, mie ndiyo napiga hodi hapa jamii forums. Long live jamiiforums. Asante, Magane
0 Reactions
5 Replies
865 Views
nimekua nikifuatilia hoja mbali mbali ndani ya jf as a guest lakini sasa nimeamua nami niwe active member wa kweli kweli kwa kuleta hoja nzito na michango iliyosimama. Tafadhali nipokeeni ndugu...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
"peace be up on to you"
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom