Hodiiii.....?

Hodiiii.....?

Safety last

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
4,242
Reaction score
1,430
Hellow kuna mtu huku jamani nasalimia tu nlipitaga zamani nimeamua kuwajulia hali tena !
 
.........................nipo miye mwenzetu,duh naona nikae hapa getini niwasubirie wageni,kwani naona ndani nilishachelewa sana,ila hapa pazuri kwani wengi nimewaona,........................ulipita lini pande hiii?.....................,lakini pia wapo wengine utawaona tuu na kuwasikia ngoja tuwasubirie.............................,ila hujambo lakini................................,wk end ndo hiyo tena umeme si hakuna,........
 
Ngoja nikae na wewe hapa hapa tuwapokee wageni.
 
Back
Top Bottom