nisaidieni !

nisaidieni !

LUCHELELE

Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
27
Reaction score
5
wakubwa shkamooni wagogo habari zenu.mi mgeni kabisa humu sielewi chochote.nahitaji mwongozo .si mnajua tene kuku mgeni hakosi kamba mguuni?
 
Karibu sana JF,jisikie uko nyumbani utakumbana maoni ya aina nyingi wengine wata kusemea onvyo wengine watakutuliza nafsi yako,yote hao utayapata lakini vumilia manake ndio mambo na kuwaheshimu wote ndio malezi ulokulia,haya karibu mwanakwetuu.
 
Back
Top Bottom