Mama,baba dada na kaka shkamooni na poleni na majukumu yenu. Nimeamua kufanya uamuzi wa kujiunga nanyi ili kuelimika na kuwa na ufahamu zaidi kwani palipo na "great thinker" kuna elimu iletayo...
Jamani mie ni mgeni katika jukwaa hili lakini ni mwenyeji wa hekima zenu, naomba sasa nami nijiunge rasmi kushiriki katika kuliendeleza jukwaa letu pendwa.
Wakubwa mi mgen hapa nshapitia site nyingi za kigeni but later nkaona bora nitafute site ya home! N i thnk jamiiforums ndo mahala penyewe panaponistahili! Thnx