Hodi Hodi Jukwaani

Hodi Hodi Jukwaani

Kolero

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2010
Posts
507
Reaction score
131
Jamani mie ni mgeni katika jukwaa hili lakini ni mwenyeji wa hekima zenu, naomba sasa nami nijiunge rasmi kushiriki katika kuliendeleza jukwaa letu pendwa.
 
Karibu sana Kolero, soma sheria na kanuni za jamvi.
 
Asanteni sana Ndugu zangu, tuko pamoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom