Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,832
- 1,294
Wapwaz na binamz nachukua fursa kuwatambulisheni kwenu damu changa..................
karibu Anno
karibu Anno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
ni nyumba ndogo yako eeeh?lol karibu mwaya anno.
duuu wana jf wakarimu sana yaani mgeni wakaribishwa hadi kwa bed room asaante saana,,
Monique ondoa shaka nafasi yako ya nyumba ndogo kwangu ipo salama.........huyu ni mdogo wangu wa kiume amekuwa akichungulia dimbani muda mrefu sasa najisfu kusema kuwa nime recruit!
Naomba kujitambulisha kwenu wakubwa..
wana jf, plz can i come in?