Hodi tena

Hodi tena

karibu sana swali la kizushi kitu gani kimekuvutia kujiunga na jf
 
@ Ndeticha

jukwaa la teknolojia na siasa lafu nataka nione huko wenye mambo ya kikubwa
 
aksante sana mrembo tafadhali soma PM nimekutumia. Kumbe jf ina warembo hivi ?
Ahahahahaah!! Mgeni una mbwembwe wewe unajua namna ya kutuma pm? Karibu sana jamvini....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom