Habari zenu?

George best

New Member
Sep 11, 2011
4
0
Wakubwa mi mgen hapa nshapitia site nyingi za kigeni but later nkaona bora nitafute site ya home! N i thnk jamiiforums ndo mahala penyewe panaponistahili! Thnx
 

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,581
5,338
Karibu Bwana George... Mbona umechagua kuingia usiku? wenyewe wamelala saa hizi...
Kama umekuja kubaki na sio mpita njia tu basi subiri watakuja wengi kukupokea
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom