Wakuu naomba mruhusu nijumuike na nyinyi katika forum hii. leo ndio mara yangu yakwanza,,
Asante mkuu naomba ushirikiano wakoKaribu mkuu upumzike
Ntajitahidi mkuuKaribu Mkuu na uwe kweli a great one tafadhali
Kaka hapa point tu umbea sahau kabisakaribu kijana, jiandae kuwa critcal. sawa?umbea mwiko.
Thanx kaka ndionazisoma sasa hivi.karibu sana ingia hapa pia JamiiForums Disclaimer and Rules