Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Mama,baba dada na kaka shkamooni na poleni na majukumu yenu. Nimeamua kufanya uamuzi wa kujiunga nanyi ili kuelimika na kuwa na ufahamu zaidi kwani palipo na "great thinker" kuna elimu iletayo...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Jamani mie ni mgeni katika jukwaa hili lakini ni mwenyeji wa hekima zenu, naomba sasa nami nijiunge rasmi kushiriki katika kuliendeleza jukwaa letu pendwa.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hi all guyz
0 Reactions
5 Replies
893 Views
hodi wenyeji tafadhali nipokeni mwenzenu mgeni kwenye huu mtaa wa jf
0 Reactions
6 Replies
997 Views
Jaman darasa langu silijui wala mwalimu wangu simjui, nani atanisaidia kutambua shule hii? Advance thanx!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa heshima na taadhima naingia jukwaani ,nawaomba wakuu mnipokee. Thanks in advance
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanajanvi naomba ruhusa kuishi nanyi hodii thinkers of great things...great thinkers hodiii
0 Reactions
20 Replies
2K Views
nimeamua kujiunga rasmi,nikaribisheni tafadhali
0 Reactions
15 Replies
1K Views
. . .wazee shikamooni!! wakubwa kubwa wenzangu, mamboo?! wadogo hamjambo? . . .lool, me mgeni atiiii, natoa macho tu apa! Nikaribisheni
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Wapwaz na binamz nachukua fursa kuwatambulisheni kwenu damu changa.................. karibu Anno
0 Reactions
24 Replies
2K Views
hi Salaam wana jf wote.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Am glad 4 bn hr wit u 2day coz ts ma first tym n am ver grtfl, hpful i'll enjoy n get lots of thngs 2 learn frm u guyz!! Kp it up n lv u ol!
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hi wana jamii forum mpo makini?
0 Reactions
4 Replies
932 Views
Hodi nabisha, Wenye nyumba mnikaribishe, Kwenu nikaribie, Sunshine1 mnipokee, Mada tuzichangie, Mawazo tubadilishane! Hodi wenyeji!
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Hodi hodi wenyewe
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hodi hodi naingi fikiri mimi masikini wazani wangu nyumbani wamefulia bila hata tunda moja yereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu naomba mruhusu nijumuike na nyinyi katika forum hii. leo ndio mara yangu yakwanza,,
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakubwa mi mgen hapa nshapitia site nyingi za kigeni but later nkaona bora nitafute site ya home! N i thnk jamiiforums ndo mahala penyewe panaponistahili! Thnx
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mie mgeni naomba ushirikiano wenu
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom