New comer @.k.@ njuka

New comer @.k.@ njuka

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,360
Reaction score
2,389
Jaman darasa langu silijui wala mwalimu wangu simjui, nani atanisaidia kutambua shule hii? Advance thanx!
 
ms anafanya mitihani akimaliza mitihani atafanya hii kazi yako.
 
we ni wa kunifulia soksi tu,na kunifatia chakula mesini!
 
Nashkur kwa kukaribishwa ktk shule hii yenye kila aina ya vituko, asanten xana wanafunz wenzangu now naenda class Kama vp mida!
 
chukua hii sh 100 kanunue BANSEN BURNER na chai pale canteen
 
hakikisha umekuja school fees ya mwaka mzima, vinginevyo invincible atakurudisha nyumbani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom