wakubwa shikamooni,
rika langu habari niaje?
Wadogo zangu hamjambo?
Nimejiunga Huku ili kuchanganya busara za kupewa na zangu..
Hope The Forum will make me Wiser
Jaman si mgeni sana maana nilikuwepo kwa zaidi ya miezi 18 leo nimeamua kujoin kuunganisha nguvu ktk ukomboz...wote nimevutiwa na michango yenu but hao wafuatao ndo hasa wamenivuta kuungana nao...
SALAMU KWA WOTE WANA JAMIIFORUM.
Nafurahi sana kuwepo kwenye mtandao huu wa kuweza kupeana habari za kuelimisha,kuhurahisha na za kimaendeleo kwa wanajamii wote hususani watanzania wote.Naomba...