Hodi jamvini!

Hodi jamvini!

Status
Not open for further replies.
karibu chetuntu....kumbuka nimekukarisha wa kwanza. Hapa kuna raha na karaha je we umekuja na lipi?
 
Hodi jamvini, nami naomba admission.
Naona ulikwishaingia mpaka sebuleni kwa post zako nyingi bila kugonga mlango na ukaona si busara kuingia bila kugonga mlango.
Karibu sana
 
jamani life is real too short, tutumie mda tulio nao kwa kusali na kujiweka chini ya ulinzi wa Mungu.kufanya matendo mema,kuwapenda wenzetu kwa hali na mali hasa wahitaji wasiojiwezea ili kujiongezea hazina mbinguni.tukumbuke mfano wa tajiri na maskini lazaro. YESU YU KARIBU KUJA. wale wengine tufuate maneno ya mtume mohamad na kuishi kadiri kurani inavosema ili bdae kuonja pepo ya milele. AMEN
 
Sisi ni wa mwenyezimungu na kwake tutarejea.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom