S Salvio Mwenda Member Jun 7, 2010 19 4 Oct 7, 2011 #1 jamani nifanyeje ku change my name nataka weka aka sio hili kamili
Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 31,130 13,097 Oct 7, 2011 #2 Salvio Mwenda said: jamani nifanyeje ku change my name nataka weka aka sio hili kamili Click to expand... Tumekubamba.
Salvio Mwenda said: jamani nifanyeje ku change my name nataka weka aka sio hili kamili Click to expand... Tumekubamba.
U undugukazi JF-Expert Member Sep 15, 2011 315 82 Oct 7, 2011 #4 Mambo salvio mwenda..ur welcome to jf
Roulette JF-Expert Member Dec 15, 2010 5,568 5,385 Oct 7, 2011 #5 Umesha ingia choo cha kike ... Pole sana
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 42,872 59,858 Oct 7, 2011 #6 kajipange upya la sivyo hapa utapata noma muda wowote.
I Ikunda JF-Expert Member Jul 12, 2010 718 152 Oct 7, 2011 #7 jisajili kwa jina lingine, lipotezee ilo
AshaDii Platinum Member Apr 16, 2011 16,189 18,101 Oct 11, 2011 #9 Tuma PM kwa Invisible kama Ndetichia alivo suggest... BTW Karibu bana...