Ndetirima JF-Expert Member Oct 4, 2011 1,008 786 Oct 5, 2011 #1 Jamani nimeingia toka jana bila hodi. Naomba kukaribishwa rasmi. Samahani kwa kuingia na kula bila kukaribishwa wala kunawa.
Jamani nimeingia toka jana bila hodi. Naomba kukaribishwa rasmi. Samahani kwa kuingia na kula bila kukaribishwa wala kunawa.
U utantambua JF-Expert Member Aug 1, 2011 1,367 322 Oct 6, 2011 #7 Karibu ndani. Unatumia kinywaji gani mkuu?
AshaDii Platinum Member Apr 16, 2011 16,189 18,085 Oct 11, 2011 #9 Ndetirima katibu saana... na hio ulikula ni kionjo tu hivo karibu chakula chenyewe.... Enjoy...