Hodii

Hodii

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,301
Wenyewe mpoo?mi mgeni jaman naombeni ridhaa yenu..nimechoka kusoma post za watu bila kucomment,.
 
Wenyewe mpoo?mi mgeni jaman naombeni ridhaa yenu..nimechoka kusoma post za watu bila kucomment,.

karibu ila hatutaki ushabiki wa magamba au magwanda,tunahtaji hoja za kujenga nchi yetu!ur welcome
 
Karibu, lakini kama una ajenda ya upagazi tutakufurusha.
 
Karibu sana ila ujue JF ina wenyewe na wenyewe ni.....
 
pita ndani!usiweke kiwingu mlangoni!wenzako nao wanataka ingia!karibuni nyote!
 
Back
Top Bottom