hodiX3

hodiX3

Karibu,

Lugha za sms si nzuri, badala ya baaac ungeandika 'basi'.

Utaendelea kukumbana na mengi, mazuri na mabaya, ujasiri ni kusimama imara ktk yote
 
karibu,

lugha za sms si nzuri, badala ya baaac ungeandika 'basi'.

Utaendelea kukumbana na mengi, mazuri na mabaya, ujasiri ni kusimama imara ktk yote
haya mapokezi ni makubwa daaah hadi wewe mkuu mbona mimi hukunipokea?
 
haya mapokezi ni makubwa daaah hadi wewe mkuu mbona mimi hukunipokea?
Wewe hukuandika lugha ya sms...
Hivi mgeni wetu anaitwaje? mbona jina sio la kawaida? Mi nitakua namwita MBM basi.
Karibu MBM. we ni mwanaume au mwanamke?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom