Here I come

Here I come

The FaMa

Senior Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
125
Reaction score
27
Habari zenuuu, hodi hodi waungwana. Naombeni mnipokee humu Jamvini. Nimeamua kuwa member badala ya kuwa guest user kila siku. Ahsanteni.
 
Nashukuru sana Wakuu, tuko pamoja sasa.
 
Habari zenuuu, hodi hodi waungwana. Naombeni mnipokee humu Jamvini. Nimeamua kuwa member badala ya kuwa guest user kila siku. Ahsanteni.

Karibu sana Faudhia Massawe. Vipi una undugu na Kanali Fabian Massawe au majina tu? Anyways mi naitwa Mwita Chacha Werema na unapozungumzia watu 3 maarufu sana JF huwezi ukathubutu kuacha kulitaja jina langu.
 
Dah, Mwita25, umejitahidi, lakini ni neither of the two....ni jina lisilokifupi cha majina/maneno yoyote. Nashukuru sana kunikaribisha.
 
nilikuwa nakuchagiza tu mkuu, si unajua tena sisi ndiyo wazee wa jamvi wengine wote wananifuatia kwa nyuma
 
the grate, Ulimakafu, Figganigga na valid statement ahsanteni sana Wakuu kwa kunikaribisha. Actually nilikuwa nikiingia jamvini kama 'guest user' kwa muda mrefu tu, nikaona nakosa fursa ya ku-share uzoefu na wanajamvi, ndio nikaamua kujiunga. Nawashukuruni sana kwa ukarimu wenu. JF is the nice place to be.
 
Habari zenuuu, hodi hodi waungwana. Naombeni mnipokee humu Jamvini. Nimeamua kuwa member badala ya kuwa guest user kila siku. Ahsanteni.
karibu mnooooooooooooo na umefanya maamuzi sahihi mnooooooo
 
Karibu mkuu. Ukiwa na tatizo usisite kusema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom