Gambaz nimefika mnipokee wakuu!.

Gambaz nimefika mnipokee wakuu!.

Gambaz

Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
75
Reaction score
2
Jaman si mgeni sana maana nilikuwepo kwa zaidi ya miezi 18 leo nimeamua kujoin kuunganisha nguvu ktk ukomboz...wote nimevutiwa na michango yenu but hao wafuatao ndo hasa wamenivuta kuungana nao ktk kuikomboa nchi: Rejeo, MS, Mwita25, Atwm52, tuntu, Yo yo, Thatha na wengneo.
 
kwahiyo wewe umekuja kuwasaidia akina rejeo si ndio?
 
kaaaazi kweli kweli. Mmmmh akina mwita25,ms nk. Haya hata hvyo karibu sana!.
 
Jaman si mgeni sana maana nilikuwepo kwa zaidi ya miezi 18 leo nimeamua kujoin kuunganisha nguvu ktk ukomboz...wote nimevutiwa na michango yenu but hao wafuatao ndo hasa wamenivuta kuungana nao ktk kuikomboa nchi: Rejeo, MS, Mwita25, Atwm52, tuntu, Yo yo, Thatha na wengneo.

Habari ya igunga? Naskia jana mlikua manzese kwenye pilau
 
Jaman si mgeni sana maana nilikuwepo kwa zaidi ya miezi 18 leo nimeamua kujoin kuunganisha nguvu ktk ukomboz...wote nimevutiwa na michango yenu but hao wafuatao ndo hasa wamenivuta kuungana nao ktk kuikomboa nchi: Rejeo, MS, Mwita25, Atwm52, tuntu, Yo yo, Thatha na wengneo.
Karibu sana uwasaidie maana sasa hivi wamepungua, wanakuhitaji sana!
 
mapinduzi?,eeeh ndo nini tena?. Nchi haipinduliwi niamini mimi.
Umejiunga kwa mbwembwe kweli, lakini Mwita25 hayupo kikosini tena ila Rejao na wenzake wanakukaribisha kwa mikono miwili uikomboe nchi sijui nchi gani!
 
hapana nimekuja kusaidiana na wote wenye nia ya dhati ya kuikomboa nchi yetu

Kwa hiyo kina Rejao ndo unawaona wana Nia ya dhati ya kuikomboa nchi yetu? Kama ndivyo basi tuna kazi! Hata hivyo karibu.
 
Back
Top Bottom