Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hodi wanamagreat thinkers! Mie ni mgeni kabisa wa hili jukwaa! Sio kwamba Leo ndo mara yangu kuliona ila namaanisha kushare ideas! Nimechoka kuwa msomaji ngoja na mie nijipatie ka-id ili tupeane...
0 Reactions
9 Replies
907 Views
Nimefurahi kujumuika nanyi wana-JF.
0 Reactions
3 Replies
796 Views
Nime furahishwa na mijadara ya ndani humu. Napenda kushiriki nanyi katika kujenga nchi.
0 Reactions
11 Replies
935 Views
Mi mgeni wajameni ndo kwanza nimeshuka kwenye treni kwetu kigoma mwisho wa reli nimekuja mjini Jf naombeni mnipokee.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello wana jf
0 Reactions
6 Replies
779 Views
Hello! mi ni mgeni ktk kuchanga mawazo yangu kwani nilikuwa msomaji tu wa kazi za wengine. siku njema
0 Reactions
6 Replies
927 Views
  • Closed
Wana JF, Rejea hii taarifa yangu hapa chini: .....Nipende kuwafahamisha, Mh. Mdee ameitika ombi lenu. Baada ya shughuli zilizomtinga toka mwezi mmoja uliopita na baada ya shughuli za msiba huu...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Hello JamiiForums
0 Reactions
2 Replies
693 Views
JAMANI NASHUKURU KWA KUJOIN JF, I HAVE BEEN JUST ENTERING IN JF AS A GUEST KWA MAANA HIYO BASI SIKUWA NA ACCESS NA KUTOA MAADA AU KUCHANGIA SASA NIMEWEZA, JAPO NILIPOJARIBU KUJOIN KUPITIA SIM...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mnipokee jamani niwe mwenyeji humu
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Great thinkers hamjambo?
0 Reactions
3 Replies
684 Views
Hallow guys its jua kali its my first message just to say hi
0 Reactions
1 Replies
719 Views
jamani na mimi nadumbukia humu HGT. Hodi ndani.
0 Reactions
2 Replies
646 Views
HI
Hamjambo waungwana wa jamii forum.
0 Reactions
3 Replies
878 Views
Hi, nami ni member mpya, nimetamani kuwa nanyi kujua mengi na kubadilishana mawazo na pia kupata habari tofauti.
0 Reactions
5 Replies
905 Views
hodi hodi kidume kinaingia
0 Reactions
6 Replies
962 Views
habari zenu wakuu,naomba mnipokee katika jukwaa ,nilikua msomaji mzuriii sana wa hili jukwaa sasa nimeingia kamili ili nifurahi zaidi ya nilivokua nafurahishwa na wana jf.nilikua najipanga si...
0 Reactions
4 Replies
929 Views
waunngwana nimekaribia ndani ya nyumba!
0 Reactions
3 Replies
816 Views
Am omenta hi 2 u 'am happy to join u please accept me
0 Reactions
5 Replies
664 Views
nipokeeni nami nitoe kile ninachokijua
0 Reactions
5 Replies
893 Views
Back
Top Bottom