S Sugar-a Senior Member Feb 6, 2012 132 22 Feb 7, 2012 #1 Mi mgeni wajameni ndo kwanza nimeshuka kwenye treni kwetu kigoma mwisho wa reli nimekuja mjini Jf naombeni mnipokee.
Mi mgeni wajameni ndo kwanza nimeshuka kwenye treni kwetu kigoma mwisho wa reli nimekuja mjini Jf naombeni mnipokee.
nitonye JF-Expert Member Dec 18, 2011 7,273 3,750 Feb 7, 2012 #2 karibu sugar-a, nijuavyo sugar ni tamu sana je na wewe ndivyo ulivyo?
S Sugar-a Senior Member Feb 6, 2012 132 22 Feb 7, 2012 Thread starter #3 nitonye said: karibu sugar-a, nijuavyo sugar ni tamu sana je na wewe ndivyo ulivyo? Click to expand... hapana mimi ni sugar ya mwarubaini chungu lakini naponya.
nitonye said: karibu sugar-a, nijuavyo sugar ni tamu sana je na wewe ndivyo ulivyo? Click to expand... hapana mimi ni sugar ya mwarubaini chungu lakini naponya.
nitonye JF-Expert Member Dec 18, 2011 7,273 3,750 Feb 7, 2012 #4 Sugar-a said: hapana mimi ni sugar ya mwarubaini chungu lakini naponya. Click to expand... Haina mbaya karibu tena jamvini
Sugar-a said: hapana mimi ni sugar ya mwarubaini chungu lakini naponya. Click to expand... Haina mbaya karibu tena jamvini